Kisanduku Cha Taarifa Kutoka Katika Ndege ya Ethiopia Chapatikana


Kisanduku(Black Box) cha kurekodia taarifa za ndege wakati wa safari kilichokuwa cha ndege ya Boeing 737 MAX 8 iliyoanguka na kuua watu 157 chapatikana

Wataalamu wa uchunguzi wanasema kuwa kifaa hicho kitasaidia sana kutoa taarifa za sababu hasa za kuanguka kwa ndege hiyo

Hata hivyo imeelezwa kuwa kisanduku hicho kimeharibika kwa sehemu, hivyo unaangaliwa uwezekano wa kukarabati

HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Kisanduku Cha Taarifa Kutoka Katika Ndege ya Ethiopia Chapatikana Kisanduku Cha Taarifa Kutoka Katika Ndege ya Ethiopia Chapatikana Reviewed by Udaku Special on March 11, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.