Qeen Latipha Amshirikisha Rosa Ree Pamoja na Wasanii Wengine 4 Kutoka Afrika..Wimbo Kuachiwa Kesho

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kesho unaachiwa wimbo wa Qeen Latipha wa Marekani  aliyoshirikishwa Rosa Ree Pamoja na Wasanii wa kike wengine wanne kutoka Afrika Unaoitwa UNITY maalum kwa siku ya Wanawake

Wasanii walioshirikishwa ni kutoka South Afrika Gigy  Lamayne na Moozlie, kutoka Nigeria Mizz Kizz, Rouge kutoka Congo pamoja na Rosa Ree kutoka Tanzania

Wimbo huo umesimamiwa na kudhaminiwa na Bia ya Castle Lite Wenye makao yao Makuu South Afrika

Kesho tarehe nane Rosa Ree Atazindua wimbo huo Pale Bucket Lounge, Atakuwa na Wasanii wengine ambao wataburudisha kama Vanessa Mdee, Chemical, Tammy, Aika Navykenzo, Sister P, Maua Sama na Wengine

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad