Wafanyakazi wa Clouds Media Wapata Ajali Wakitokea Bukoba Kumzika Ruge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wafanyakazi wa Clouds Wanusurika Kifo Baada ya  Kupata ajali wakitokea Bukoba kuja Dar

Wafanyakazi wa 6 wa Clouds Media ambao walikuwa wakitokea Bukoba kwenye mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na Uzalishaji wa CloudsMedia, Ruge Mutahaba kuja Dar es salaam wamepata ajali nje kidogo ya mji wa Dodoma.

Kwa mujibu wa taarifa walioitoa, wamedai mpaka sasa wafanyakazi hayo wamepelekwa hospitali kwaajili ya kupatiwa matibabu.

Taarifa ya Clouds
“Tunasikitika kuwataarifu kuwa sehemu ya timu yetu ya production (Watu 6) iliyokuwa ikitokea msibani Bukoba kurejea jijini Dar es Salaam imepata ajali ya gari maeneo ya nje kidogo ya Dodoma.

Tunamshukuru Mungu hakuna aliyepata madhara makubwa kutokana na ajali hiyo. .

Tunatoa shukrani za dhati kwa mbunge wa jimbo la Dodoma mjini ndugu yetu Anthony Mavunde kwa msaada wa haraka aliowapatia vijana wetu ambao kwa sasa wanapatiwa matibabu na vipimo zaidi Jijini Dodoma.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad