Aunt Ezekiel Afunguka Ishu ya Mumewe Kutoka Jela Huko Dubai

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amedai kuwa madai ya mumewe Sunday Demonte kutoka gerezani nchini Dubai alikokuwa amefungwa anayasikia tu kwa watu lakini anachoamini yeye ni uzushi.  Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Aunt alisema: “Asingeweza kutoka bila mimi kujua kwa hiyo hizo  habari ni uzushi mtupu, mimi nazisikia tu na wala sijui zinatoka wapi,” alisema Aunt.

Madai ya kutoka jela kwa Sunday yaliibuka wiki iliyopita huku ikielezwa kuwa, muda wake wa kifungo ulikuwa umeisha na hata alipotoka, alifichwa kwanza. Gazeti hili linaendelea kufanyia kazi madai hayo na kitakachobainika kitawekwa bayana.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad