Bodi ya Filamu Yamgeuka Msukuma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bodi ya Filamu nchini imetoa tamko lake juu ya kauli iliyotolewa na Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku ‘Msukuma’ kuwa bongo movies imekufa na wasanii wanategemea michango ya misiba, na kusema kwamba kauli hiyo inadhalilisha bodi hiyo na wasanii.


Taarifa ya tamko hilo imetolewa kwneye barua maalum iliyotolewa na Bodi ya Filamu nchini, na kusema kwamba ni kuidhalilisha taaluma na kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa wasanii ni wapigaji wa pesa za rambirambi, jambo ambalo si sahihi.


Hata hivyo wasanii wa filamu za bongo nchini walisema wanajipanga kwenda jijini Dodoma kwa lengo la kumpongeza Musukuma, kutokana na kupigania haki za wasanii wa tasnia hiyo kwa kusema ukweli halisi uliopo kwenye maisha yao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad