4/09/2019

CAF Yatoa Sababu ya Kubadirisha Mwamuzi Atakayechezesha Mechi ya Simba na TP Mazembe

Shirikisho la Soka Barani Africa (CAF), limetoa sababu ya kubadilisha Mwamuzi atakayechezesha mchezo wao na TP Mazembe ya Congo.

Taarifa imesema kuwa baada ya Primero ya Angola kuitoa TP Mazembe katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita, wakakutana na Esperance ya Tunisia na Mwamuzi Jani Sikazwe wa Zambia ndiye akaamua mechi ya pili iliyowang'oa Waangola hao ambao walilalamika CAF na Sikazwe akasimamishwa.

Sasa CAF wameipa Simba Sikazwe na kumuondoa mwamuzi kutoka Ethiopia
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger