Ibrahim Ajibu Hatiani Kufutwa Kazi Yanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ibrahim Ajibu hatiani kufutwa kazi Yanga
Uongozi wa klabu ya Yanga na baadhi ya mashabiki wa wanachama hicho wamutaka kuachana na mchezaji wake Ibrahim Ajibu ambaye amekuwa nje ya kikosi kwa takribani wiki tatu sasa.

Mwanachama mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe, amesema ifikie wakati Yanga wawe na maamuzi magumu kwa wachezaji ambao hawana nidhamu huku akimtaja Ajibu.

Mwanachama huyo na shabiki kindakindaki wa Yanga, amesema kuwa Ajibu amekuwa akisingiza anaumwa lakini akiamini kuwa jambo hilo si la kweli.

Ameutaka uongozi kuacha kuficha mambo kwani kila siku umekuwa ukieleza kuwa anaumwa na ndiyo maana amekuwa hasafiri na timu kuelekea mikoani kucheza.

"Ni vema viongozi wetu wakatuweka wazi juu ya suala la Ajibu.

"Sioni tatizo kama wakiachana naye maana amekuwa mbabaishaji kwani hajacheza kwa muda mrefu.

"Natawaka viongozi wangu wawe na maamuzi magumu juu yake kwa maslahi mapana ya klabu na timu," alisema Mwanachama huyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad