Maskini..Baba ambaka mwanaye mkesha wa Pasaka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkazi wa Kijiji cha Nyantorotolo Kata ya Nyankumbu Halmashauri ya Mji wa Geita, Patrick Andre (41) anashikiliwa na Polisi Mkoa wa Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake wa kufikia wa miaka 7, ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili.


Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo amesema kwa sasa jina la mtoto huyo wanalihifadhi, lakini alikuwa akisoma Shule ya Msingi Nyankumbu, ambapo ameeleza mwanamume huyo alifanya kitendo hicho majira ya saa tano usiku siku ya mkesha wa Pasaka

Aidha Kamanda Mponjoli amesema mtu pekee ambaye aligundua mtoto kufanyiwa vitendo hivyo vya kinyama ni mama mzazi wa mtoto huyo, ambaye pia alibainisha kulihifadhi jina lake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad