Rais wa Sri Lanka Afanya Mabadiliko Katika Vikosi vya Usalama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Sri Lanka afanya mabadiliko katika vikosi vya usalama
Rais wa Sri Lanka Maithripala Sirisena amefanya mabadiliko katika vikosi vya usalama nchini humo.

Sirisena amefanya uamuzi huo baada ya maafisa kushindwa kuchukua hatua licha ya kupokea taarifa za onyo la uwezekano wa kutokea mashambulizi yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 350 wakati wa kipindi cha Pasaka.

Katika hotuba ya televisheni kwa taifa usiku wa Jumanne, Rais Sirisena alisema atambadilisha mkuu wa vikosi vya majeshi katika kipindi cha masaa 24, na Jumatano aliwataka katibu wa ulinzi na mkuu wa jeshi la polisi kujiuzulu.

Bado hakutaja nani atakayechukua nafasi zao. Sirisena amesema alifichwa taarifa hizo za uwezekano wa kutokea mashambulizi na ameahidi kuchukua hatua kali dhidi ya maafisa wote walioshindwa kumuarifu mapema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad