Simba, Yanga Kushuka Dimbani saa Nane Mchana leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mechi za Ligi kuu zitakazochezwa leo katika Viwanja Viwili tofauti kuchezwa saa nane mchana ili kutoa nafasi kwa watanzania waweze kuangalia michuano ya AFCON U17.

simba SC atakuwa mgeni wa Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga, huku Yanga SC itakuwa mgeni wa Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Katika michuano hiyo ya AFCON chini ya miaka 17 kesho April 17 zitachezwa mechi mbili, Nigeria dhidi ya Angola na Uganda dhidi ya wenyeji Tanzania.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad