TAKUKURU Imemkamata Mganga Mkuu na Watumishi 7 kisa Mradi wa Milioni 500

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

TAKUKURU imemkamata Mganga Mkuu na Watumishi 7 kisa mradi wa Milioni 500
Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma inawashikilia Watumishi saba wa Wilaya ya Kakonko akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo kwa tuhuma za ubadhilifu katika ujenzi wa Kituo cha Afya Gwanumbu ambapo Zaidi ya Milioni Tisini hazionekani matumizi yake.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa TAKUKURU anayekaimu pia Wilaya ya Kakonko Michael Yombe alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad