Tazama Show ya Rosa Ree Alivyokiwasha Mbaya Kenya, Atoa Siri ya Kingereza Chake, Aifagilia Elimu ya Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rapper wa Kike kutoka Tanzania yupo nchini Kenya katika ziara ya kutangaza kazi zake huko, Katika Harakati hizi nimekutana na Show moja kali aliyoifanya live katika Kipindi cha 10 over 10 Cha Citizen TV, Nimekuwekea Video Hapa chini uone perfomance yake na pia amefunguka kuhusu elimu ya Kenya kwani ndo iliyomfanya kuongea kingereza Vizuri

VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad