Waamuzi wa Tanzania Watemwa Michuano ya AFCON

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF limetoa listi ya waamuzi wataochezesha katika fainali za AFCON nchini Misri baadaye mwaka huu.


Listi hiyo yenye jumla ya waamuzi wa kati 27 na waamuzi wasaidizi 29 inaongozwa na nchi za Misri na Tunisia ambazo zina waamuzi watano kila moja.

Nchi za Afrika Mashariki zimewakilishwa na Kenya iliyotoa waamuzi wawili na Burundi iliyotoa mwamuzi mmoja, huku Tanzania ikiwa haijatoa mwamuzi yoyote kusimamia katika michuano hiyo inayotarajia kuanza mwezi Juni hadi Julai mwaka huu.

Ikumbukwe Tanzania imefuzu michuano hiyo kwa mara ya pili baada ya kupita takribani miaka 39. Itazame listi kamili ya waamuzi hapa chini.



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad