5/21/2019

Baby Wangu Majizo Sio Tajiri..Ndoa yetu Itakuwa Ndogo

Msanii wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu' amesema kuwa yeye na Mchumba wake, Majizo ni watu wa kawaida hivyo watafunga ndoa ya kawaida.

Lulu amesema kuwa kutakuwa na watu wa upande wa kike na wa kiume na baadhi ya marafiki zao.

“Mimi na mwenza wangu Majizzo bado hatujaoana. Sisi tabia zetu zinaendana ni watu wa kawaida hivyo tutafunga ndoa kawaida yaani ndugu upande wa kiume na upande wa kike pamoja na marafiki zetu baadhi," Lulu ameiambia Clouds FM.
"Baby wangu sio tajiri bali ni mtu ambaye ameanzia chini kimaisha mpaka kufika alipofika na am proud kwa hilo.”


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger