Nyalandu Ashikiliwa Tena na Polisi, Atoka Kwa Damana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu na wengine watatu mapema leo wameripoti kituo cha polisi mkoani Singida na kutakiwa kuruudi tena polisi ifikapo Mei 31, 2019.

Ambapo nusu saa baada ya kufika kituoni hapo walichukuliwa na maofisa wa takukuru na kuhojiwa kwa takribani saa moja na kisha kuachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni 5 kwa kila mmoja.

Nyalandu amesema polisi imewataka kuripoti kituoni hapo siku ya ijumaa huku watu wa Takukuru wakiwataka kuripoti Juni 19 mwaka huu.

Aidha Nyalandu amewaomba makamanda wa Chadema na wanachama wote wa Chadema kuwa na utulivu sana katika kipindi hiki na amewaomba wasilipize ubaya kwa ubaya bali ubaya kwa uzuri.

Aidha Nyalandu alikamatwa na Takukuru siku ya jumatatu ya Mei 27, 2019 katika kata ya Itaja jimbo la Singida Kaskazini  akituhumiwa kwa makosa mawili ya rushwa na kuendesha kmkutano bila kibali.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad