Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Unamkataa Mtu Halafu Unamtangaza Chuo Kizima au Ofisi Yote Hadi Walinzi WanajuaKuna watu wa ajabu sana.
Anatokea mtu anaweza kuwa mwanamke au mwanaume kuomba mahusioni ya kimapenzi kwa mwingine.

Sana sana kwenye jumuia mfano chuo,maofisini na ata kwenye viwanda mahali ambapo watu wanakutana mara kwa mara.

Mtu amekutungoza umemkataa au amekukuta tayar una mtu unaishi nae kuna sababu gan kumtangaza kwa watu wote kua fulan nimemkataa.

Kinachokufanya kila mtu
kumwambie kua umekataa mtu fulani nini?
Ili uonekana unatafutwa sana na watu au mzuri sana.

Ukimkataa mtu na yeye akikuelewa basi hakuna sababu yakutangaza chuo kizima au ofisi yote adi walinzi wajue.

Wenye tabia hii acheni Mara moja.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments