6/14/2019

Harmonize awa zawadia wazazi wake Magari

Msanii wa muziki nchini kutoka lebo ya WCB,  Harmonize amewazawadia wazazi wake gari kila mmoja na Gari lake.Harmonize kupitia insta story ya akaunti yake Instagram, ameshare zawadi ya Magari mawili aina ya Toyota Harrier aliyowazawadia wazazi wake, Baba na Mama.

Watu mashuhuri wamemiminika kwenye page yake ya Instagram kumpa hongera na kumpa baraka huku wengine wakipata funzo la kuwakumbuka na kuwasaidia wazazi pindi wanapopata kitu chochote.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger