Mrembo wa Tanzania Aibuka Kidedea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mrembo wa Tanzania Anitha Mlay, ameibuka kidedea katika mashindano ya Miss Landscape ya dunia yaliyofanyika nchini Australia


Anitha ambaye amefanikiwa kushika nafasi ya pili akitanguliwa na mrembo wa Marekani, ambaye ndiye aliyeshika nafasi ya kwanza, huku nafasi ya tatu ikienda kwa mrembo kutoka Colombia.

Shindano hilo la urembo la kimataifa linalobeba kampeni za utunzaji mazingira, kupiga vita ujangili pamoja na kutangaza utalii limeshirikisha warembo kutoka mataifa 41 huku Tanznaia ikiwa ni miongoni mwake.

Mratibu wa mashindano hayo nchini, Happy Maina amesema kwamba  ushindi wa Anitha ni wa taifa na pia ni jambo la kujivunia kwa kuweza kuiepeprusha bendera ya nchi vizuri.

Anitha ambaye anasoma stashahada ya sheria, amepeperusha vyema bendera ya Tanzania katika fainali za mashindano hayo zilizofanyika jana, Juni 5, 2019.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad