Rais Magufuli Kupokea Mabilioni ya Fedha Kutoka Airtel

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal, Ikulu Jijini Dar es Salaam Januari 11, 2019.

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli kesho Juni 10, 2019 atawaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa, Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Edwin Mhede na Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Charles Kicheere

Tukio hilo litafanyika Ikulu jijini Dar es Salaam kuanzia saa 8:00 mchana sanjari na kushuhudia tukio la makabidhiano ya fedha kutoka Airtel kwenda serikalini kiasi cha shilingi bilioni 5.27.

Miongoni mwa fedha zitakazotolewa, shilingi bilioni 2.27 ni kwaajili ya kuunga mkono juhudi za serikali katika maendeleo wakati shilingi bilioni 3 ni malipo ya kila mwezi yatokanayo na umiliki wa hisa za Airtel Tanzania kati ya Serikali ya Tanzania na Bharti Airtel International.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad