Uturuki Yaunga Mkono RIPOTI ya Umoja wa Mataifa Mauaji ya Mwandishi wa HABARI wa Saudia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wizara ya mambo ya nje ya Uturuki yaınga mkono ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya Jamal Khashoggi na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria wahusika.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt ÇavuÅŸoÄŸlu amesema kwamba wizara yake ina unga mkono ripoti ya Umoja wa Mataifa  iliotolewa kuhusu mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi alieuawa katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki amesema kuwa  ripoti hiyo iinaungwa mkono na Uturuki bila ya kipingamizi ili waliohusika na mauaji hayo wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria.

Mevlüt ÇavuÅŸoÄŸlu Jumatano ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kuhusu ripoti iliotolewa   na Agnes Callamard, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya wanahabari Jamal Khashoggi.

Katika ujumbe wake huo, waziri wa mambo ya  nje  wa Uturuki amesema kuwa Uturuki inaunga bila kipingamizi ripoti hiyo ya UM.

Ripoti hiyo ya Umoja wa Mataifa  yenye kurasa 101 imeishutumu Saudia kuhusu na mauaji ya Jamal Khashoggi.

Ripoti hiyo imeendelea kufahamisha kuwa  kuna ushahidi tosha kuwa  mwanamfalme wa Saudia Mohammed Bin Salman na viongozi wengine wanatakiwa kuchunguzwa kuhusu mauaji hayo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad