Wawili wafariki wakisherekea Ubingwa wa NBA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Watu wawili walijeruhiwa nchini Canada baada ya ufyatulianaji wa risasi kuzuka kwenye gwaride ya kusherehekea ushindi wa mabingwa wa NBA, Toronto Raptors.

Shambulizi hilo lilitokea katika bustani ya Nathan Phillips Square, wakati meya wa Toronto John Tory alipokuwa akihutubia mashabiki wa mabingwa hao wa ligi ya mpira wa vikapu,

Idara ya Polisi ya Toronto ilisema kwenye ujumbe wa mtandao wa twitter kuwa washukiwa wawili wametiwa mbaroni na bunduki mbili kunaswa na maafisa wa usalama.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad