BREAKING NEWS: Watu 7 Wafariki Dunia Kwa Ajali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Watu saba wamefariki na wa 3 kujeruhuwa vibaya eneo la Malendi Singinda waliokuwa wanaelekea Chato Mkoani Geita.

Kamanda wa Polisi Mkoani wa Singida, Sweetbert Njewike amesema kuwa yupo eneo hilo la tukio na amethibitisha taarifa hizo huku akiomba kupewa subira.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sorry hoja yangu haihusiki na ajali hii. Inahusika na mlima kilimanjaro natambua Hapa si sahihi kwa hoja hiyo, ila pia natambua itawafikia wahusika. Naomba kufanyike survey miongoni mwa wateja wote waliowahi kupanda mlima na wale walioweka booking zao. Waulizwe je tukiweka cables bado mtakuwa interested kupanda mlima kilimanjaro? Hii ni sababu, wapo watu clubs mbali mbali ambazo hobbies zao ni kupanda mlima na si tu kuwasili kileleni ili kujionea. Lile zoezi la kukwea ndo furaha yao na hujisifu kupitia hilo. Kuweka cables nina wasiwasi huenda kundi hilo likapotea na tukabakia tu na kundi jipya la watumiaji wa hayo magari. Hiyo itapoteza ndoto ya kuwa na double income, kutokana na ukweli kwamba tumepoteza kundi kubwa. Ila nitauelewa tu mradi huo mpya endapo mtaweka bayana kuwa kutskuwepo na options ya wanaopenda magari na wanaopenda kukwea physically. Nsiona nia njema ya kigwangala na wizara yake katika kukuza uchumi wa taifa. Nami pia nina nia hiyo hiyo.

    ReplyDelete

Top Post Ad