GODBLESS Lema Amesema Kauli ya RC Makonda "Baba yako Anakulinda Hongera" ni ya Hatari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema amesema kauli aliyoitoa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda dhidi ya Wakili Fatuma Karume ni ya hatari kwa wakosoaji wasio na wazazi wa kuwalinda.

Lema aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa kauli hiyo ni ya hatari.

Mbunge Lema “Kauli ya RC Paul Makonda katika mtandao wa Twitter kwenda kwa Adv Fatuma Karume inayosema Baba yako anakulinda hongera ni kauli ya hatari haswa kwa wakosoaji wasiokuwa na wazazi wa kuwalinda. Namtafakari Ben Saanane/Wengine kwa kuwa baba zao walikosa uwezo wa kuwalinda,”


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad