SHAMSA Ford "Sikumbuki Chochote Kwa Chid Mapenzi, Ukiachwa Achika"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Unalikumbuka penzi la Chid & Shamsa Ford wewe? Ile mambo ya kupostiana and all of that!

Cheki hii sasa!

Mwigizaji na CEO wa Madera Pambe , Shamsa Ford amefunguka na kudai kuwa hana sababu ya kurudi nyuma kwa mume wake huyo wa zamani kwa kuwa washaachana, Mmh Shamsa!

Mapema mwaka huu zilisikika tetesi mitandaoni juu ya Chid Mapenzi na Shamsa Ford kuachana ,uvumi ambao ulikuja kuthibitishwa na Shamsa Ford mwenyewe kwa kudai kuwa kwa sasa wawili hao they are no longer!

Haya Twende kwenye stori yenyewe hapa!

Shamsa Ford Amefunguka kuwa, mwanamke akishaachana na mwanaume, hakuna sababu ya kurudi nyuma wala kukumbuka chochote cha kwake.

Akizungumza na Gazeti moja la udaku nchini, Shamsa alisema mara nyingi wanawake wanapotoka kwenye uhusiano wanaona ni kazi ngumu kupita kwenye kipindi hicho, kumbe wanatakiwa wakitoka ndiyo iwe imeisha hiyo.

“Kama Umechana na mtu hakuna sababu ya kujadiliana na wenzako mambo yake, wewe songa mbele,” alisema Shamsa.

Inamana Shamsa ndo umeshamsahau Chid? All the praises? Bora nibaki single aisee

Baada ya kuachana na mume wake huyo Shamsa Ford seeming enjoying life, na hivi tunavyoongea siku ya jana, msanii hhuyo na mtoto wake wameonekana kuwa katika first class ya ndege flani hivi amazing na inaonekana safari hiyo ni hya kwenda mamtoni tu kula bata.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad