KUMEKUCHA...Bernard Membe Ampa za uso Mbunge Lusinde..Afunguka Kuhusu Kushambuliwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi, Bernard Membe amemjibu mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde maarufu kama Kibajaji kuwa anamsubiria atekeleze maagizo aliyopewa ya kumshambulia.



Membe aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Lusinde safiri salama ili utekeleze maagizo uliyopewa ya kunishambulia. Niguse ninuke!



Jana Lusinde alisema amemuweka kiporo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya nje ya nchi, Bernard Membe, hivyo atakaporudi nchini China atamshughulikia kwani  anamjua vizuri na hana chochote.

Alisema atakapomaliza ziara yake nchini China na kurejea nchini atamshughulikia kwani anamjua vizuri.



“Kuna mtu mmoja anaitwa Bernard Membe namuona anavyohangaika hangaika leo nina safari ya kwenda China kwa ziara ya kikazi. Membe namuweka kiporo nikirudi nitashgulika naye kwa sababu namjua vizuri na hana chochote,” alisema mbunge
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tena haji kuku kuna.
    Unamsakia Kibajaji au unamjua???
    ATAKUPIGA MSASA..KAA CHONJO

    ReplyDelete

Top Post Ad