Membe Ashangazwa na Uamuzi wa Spika Kumvua Ubunge Tundu Lissu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchini, Bernard Membe amemshangaa Spika Job Ndugai kwa uamuzi aliotua kuwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amepoteza sifa za kuwa mbunge.

Membe alihojiwa leo nje mahakama Mkuu na waandishi wa habari ambapo alisema jambo hilo limeshangaza lakini anaamini kama kuna haki Lissu ataipata Mahakamani.



“Nilishangaa kwa huo uamuzi nina uhakika kabisa kuwa Lissu ataenda Mahakamani na kama kuna haki basi ataipata mahakamani,” alisema Membe.

Alipohojiwa masuala ya kuwepo kwa vitendo vya utekaji, Membe alisema viongozi waliopo madarakani , wadogo na wastaafu wajitokeze kukemea matukio hayo.

Membe alisema endapo matukio hayo hayatakemewa havitaleta taswira nzuri katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwakani.

Juni 28 Spika Ndugai alitangaza kumvua ubunge Lissu kutokana na kwamba haudhurii vikao vya bunge na pia hajawasilisha taarifa ya mali zake katika ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa Umma.

#Membeashangazwana UamuziwaSpika
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad