Mwanaume Ana Miaka 38 Ana Watoto 35

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwanaume aitwaye Yuichi Ishii akiwa na miaka 38, ana watoto wengi kuliko mtu mwingine yeyote wa umri wake.

Lakini hutumia takribani saa nne kwa siku kukaa nao, mara kadhaa wiki moja, inategemea na mahitaji ya wateja wake.

Miaka kumi iliyopita, Ishii alianzisha kampuni aliyoiita Family Romance, Kampuni inayokodisha ‘familia na marafiki’. Sasa kampuni ina waajiriwa 2,200 ambao hujifanya mababa na mama, binamu, wajomba, mabibi na babu na ndugu wengine bandia.

Umaarufu wa kampuni hiyo na uchangamfu wa mmiliki umekuwa ukikua tangu wakati ilipoanzishwa.

Leo hii Ishii ni ”baba”wa watoto 35 na anaiambia BBC anachojisikia kuwa sehemu ya familia 25 tofauti, bila kuwa na mahusiano nao ya kweli.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad