Mzazi Mwenzake na Wikzid Aachia ngazi adai kunyanyaswa na kupigwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mzazi mwenza na staa maarufu kutokea Nigeria Wizkid ambaye pia ni Meneja wake Jada Pollock ametoa siri kubwa kupitia insta story yake na kusema kuwa ameamua kujitoa na kutosimamia tena kazi za msanii huyo na amekuwa kwenye mahusiano yenye manyanyaso.

Jada alienda mbali na kutoa malalamiko juu ya msanii huyo na kudai kuwa amekua akipigwa kwa miaka mingi sasa lakini alifanya tukio hilo kama siri miele ya marafiki zake pamoja na ndugu na kuisha pamoja na Wizkid kumemfanya kuhisi nyumba hiyo kama sehemu ya mashambulio na amejitahidi kufanya marekebisho ili kila kitu kiwe sawa lakini anambidi aachie ngazi.



“Kuanzia leo Ayo na mimi hatutofanya kazi pamoja nimekuwa kwenye mahusiano yenye manyanyaso kwa miaka sasa na nimemvumilia kwa sasa nimechoka, Wiz Kid amekua akinipiga na kuniacha na makovu lakini nimelificha hili kwa dunia nzima nikijumuisha marafiki zangu pamoja na familia”

“Inanifanya nijisikie tunaishi kwenye nyumba yenye mashambulio, nimefanya kila niwezalo ili kutatua lakini kuanzia leo naliachia, unawezakumpa mtu msaada kadri uwezavyo lakini inafikia wakati inabidi ujithamini, siwezi kumlea mwanangu kwenye mazingira dhaifu” >>> aliandika Jada Pollock


Jada Pollock na mwanae Zion

Superstar huyo ana jumla ya watoto watatu wa kiume ambao amezaa na wanawake watatu tofauti akiwemo Jada Pollock  ambae amezaa nae mtoto wake wa tatu Zion hata hivyo mwanamke aliyezaa na Wizkid mtoto wa pili Binta Diamond Diallo aliwahi pia kutoa malalamiko kuwa Wizkid hatekelezi wajibu wake kama baba kwa mtoto wake hatoi matunzo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad