Nchi yetu Imeudhihirishia Ulimwengu Kuwa Sisi ni Taifa huru - Rais Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema nchi imeudhihirishia ulimwengu kuwaTanzania ni Taifa huru na sio masikini.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo katika hafla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mto Rufiji.

"Nchi yetu imeudhihirishia ulimwengu kuwa sisi ni Taifa huru na sio masikini,mradi huu ulipigwa vita ndani na nje ya nchi tangu tulipoonesha nia ya kuujenga, kwakuwa nchi yetu huru na sio masikini tuliamua tuutekeleze kwa fedha zetu wenyewe," amesema Rais Magufuli.

"Mradi huu utazalisha umeme mwingi kuliko umeme wote uliozalishwa nchini tangu tumepata Uhuru, tutakuwa na umeme wa kutosha, wa uhakika na wa bei nafuu, ujenzi wa uchumi wa viwanda kokote Duniani ni lazima uwe na uhakika wa umeme wa bei nafuu, mradi huu ni suluhisho.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad