AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa Tanzania ina Madini mengi na Uganda kuna madini kadhaa.
Museveni ametoa kauli hiyo Chato Mkoani Geita ambapo amesema nchi ya Uganda ilivumbua mafuta na gesi
''Hapa Tanzania mko na madini mengi, vilevile Uganda kuna madini kadhaa na nyuma kidogo tulivumbua mafuta na gesi, bahati nzuri bomba la mafuta linapita hapa Chato hii ni ishara ya ushirikiano mkubwa,'' amesema Rais Museveni.
Rais Museveni yupo amewasili leo ambapo yupo kwenye ziara binafsi ya siku 1.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK