Shirikisho la soka nchini Guinea lamtimua kocha wa timu ya taifa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Shirikisho la soka nchini Guinea limemfuta kazi Paul Put kama kocha mkuu wa timu hiyo ya taifa baada ya kufanya vibaya kwenye Michuano ya Maitafa ya Africa (AFCON).

Kocha huyo wa zamani wa Kenya alianza kuinoa Guinea March 2018 na kuiwezesha kufuzu fainali hizo za AFCON.

Put alichukua nafasi ya kocha Kanfory Sylla na wakati anachukua kibarua hicho alikuwa miongoni mwa makocha 80 walioomba kuinoa Guinea.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad