Irene Uwoaya afunguka baada ya kutoka BASATA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), leo limekutana na waigizaji Irene Uwoya, Steve Nyerere na Dude maarufu kama Kulwa Kikumba na kufanya nao mahojiano kuhusiana na 'issue' ya kuwatupia pesa waandishi wa habari.

Katika kikao hicho kilichofanyika ofisi za BASATA Ilala Dar es salaam na kuchukua takribani saa 2, pande hizo mbili zimekubaliana kuwa, msanii Uwoya aombe msamaha mbele ya vyombo vya habari pamoja na fidia za vifaa vilivyoharibika.

''Tumeongea mengi na nimeambiwa niombe msamaha lakini pia kuhusu vifaa wengine wameshaanza kulipwa, lakini sikufanya kwa makusudi nilikuwa na furaha tu'', amesema Uwoya baada ya kutoka kwenye kikao.

Kwa upande wake Steve Nyerere ameeleza kuwa kwa pamoja wanatambua wamekosea na wanaomba radhi kwa waandishi wa habari, Wahariri pamoja na wamiliki wa vyombo vya habari.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad