Unaambiwa IRENE Uwoya Ndio Msanii Mwenye Pesa Nyingi Kuliko Wote Bongo Movies

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama na wewe ni mmoja kati ya wanazengo waliokua wanamponda Muigizaji bei mbaya, Irene Pancras uwoya, kwa kitendo chake cha kupiga picha kila wakati akiwa amepozi nyumbani kwake na nguo tofauti tofauti za kutokea ilihali hana mtoko wowote, habari hii ukifikie popote ulipo.

Sasa nikujuze, Mwana mama huyo mwenye umbo na sura ya kuvutia, na pesa kama zote, hivi sasa anakula mtonyo wa madili mbali mbali ya maduka y nguo mjini , ambapo mrembo huyo hutangaza nguo na outfit mbali mbali na kuzipost kwenye ukurasa wake wa instagram wenye followers zaidi ya Mil 3.

Msanii huyo kwa sasa ndiye anayetajwa kuwa na pesa zaidi kuliko msanii yeyote kwa sasa kutoka kwenye kiwanda cha bongo movie.

Staa huyo amekua akionekana kwenye viwanja vya starehe ndani na nje ya nchi akila bata.

Uwoya ni mjasirimali, anamiliki Bar, last minute lounge maeneo ya sinza mori, pia tunaambiwa uwoya kwao ni mambo safi, pesa si tatizo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad