Mange Kimambi Amtuhumu Diamond Kutumia Madawa ya Kulevya..Wadau Wapigilia Msumari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanadada maarufu mtandaoni anayeishi nchini Marekani Mange Kimambi amemshutumu msanii nyota zaidi wa Bongo Fleva kwa sasa nchini Diamond Platnumz kujihusisha na matumizi na madawa ya kulevya na kumsihi mama wa msanii huyo kukaa na mwanaye na kumuonya juu ya suala hilo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mange ametoa kauli hiyo akiambatanaisha na video ya Diamond akiwa anahojiwa na mwanahabari mmoja ambapo msanii huyo alikuwa akionesha ishara ya kushtuka mara kadhaa.

Hata hivyo shutuma hizo hazijathibitishwa na mtu yoyote mpaka sasa. Inawezekana mshtuko huyo ulikuwa unatokana na msanii huyo kutoka kuperform shoo ya Wasafi Festival mkoani Tabora punde baada ya kufanya mahojiano hayo.

Mange Kimambi ameandika hivi:

Something is wrong na huyu kijana, sijui kama kuna mtu mwingine amenote. Kama yuko paranoid hivi, anastuka Yani kama kuna voices anazisikia inside his head. I think anatumia drugs. I think. Na ndo maana lately anaonekana kama kachakaa sana. Yani sura imechoka, hana Nuru. . . Na hii sio video ya kwanza nimeona Diamond yuko hivi. Mwanzoni nilikuwa najiambia labda ni macho yangu. Embu toeni sauti kwenye hii video alafu muiangalie tena ndo mtaona vizuri😭😭😩. Something is very very very wrong na huyu kijana. . . @mama_dangote Acha kupigania mume, unapoteza mtoto huku. Huyo mume mwenyewe unae kwa ajili ya huyu. Tafadhali anza kumchunguza Diamond kwa ukaribu sana, yani mfatilie kwa ukaribu mnooo, anatumia madawa ya kulevya huyu, si bure. Muwahi before it’s too late….
 .Wadau Mbali Mbali Wamemuunga mkono Mange Kimambi Kwa Kuandika haya:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndo mana Konde Boy na Vanny boy Sallam
    ana naii... hata Tale pia.
    Daa Chiddy Benz ..nasihi apo ulipo pabaya mwanangu hajuii anajali

    ReplyDelete

Top Post Ad