Ajali Morogoro Sasa Vifo vyafikia 100.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hadi inafikia majira ya asubuhi ya Agosti 21, 2019 idadi ya vifo vya majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro, imefikia 100 .


Hatua hiyo hiyo inakuja, baada ya majeruhi mmoja aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili,  kufariki usiku wa kuamkia leo.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kutoka Hospitali ya Muhimbili Aminiel Aligaesha ,  amesema waliofariki ni Mazoya Sahani, Khamis Marjani na Ramadhani Magwila, na kusema kuwa majeruhi waliobaki ICU ni 13 na wawili wamelazwa wodi ya Sewahaji.

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ilipokea jumla ya majeruhi 47, ambapo hadi sasa, wamesalia majeruhi 15, huku wengine 32 wakiaga dunia.

Ajali hiyo ilitokea Agosti 10 katika eneo la Msamvu mkoani Morogoro  baada ya Lori la mafuta kuanguka na watu kujitokeza eneo la ajali, kwa nia ya kuchota mafuta na ndipo mlipuko wa moto ulipotokea na kusababisha majeruhi na vifo ambavyo hadi sasa vimefikia 100.


The Cost of Hair Transplants in Gairo Might Shock You
Hair Transplant | Search Ads
|
Sponsored
10 Most Expensive Restaurants in the World 2017
Topexpensive.com
|
Sponsored
4 Sisters Took The Same Picture For 40 Years!
Luxxory
|
Sponsored

20 Breathtaking Places to See Before You Die
ezzin.com
|
Sponsored
Flight Price from Gairo to New York Might Surprise You
Flight Prices | Search Ads
|
Sponsored
''Wazazi tunzeni silaha vizuri'' - RPC Shana | East Africa Television
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shana,  amezitaka Taasisi na watu binafsi wanaomiliki silaha,  kuzitunza sehemu sahihi ili kuepusha madhara ambayo yanaweza kutokea endapo zitachukuliwa ama kuibiwa na kutumika vibaya.
EATV

TOP STORIES

ENTERTAINMENT
Seyi Shay ataja orodha ya wanaume alio-date nao

CURRENT AFFAIRS
Kama alivyosema Makonda ''Wameoga'' - Kamwelwe

CURRENT AFFAIRS
CHADEMA yatoa maagizo matatu kuhusu Halima Mdee

SPORT
Etienne Ndayiragije awatisha wababe wa Simba



MOST POPULAR

LIFE & STYLE
Kaka na Dada washinda kesi ya kuoana

SPORT
Haji Manara afunguka kuhusu kufukuzwa kazi Simba

SPORT
Ninja afanya kama Yanga huko LA Galaxy

CURRENT AFFAIRS
''Wazazi tunzeni silaha vizuri'' - RPC Shana

CURRENT AFFAIRS
Tulia Ackson aeleza kuhusu kugombea Mbeya Mjini
ABOUT US
ABOUT USADVERTISEJOBSTERMS & CONDITIONSCONTACT USFREQUENTLY ASKED QUESTIONS
NETWORK
IPP MEDIAEAST AFRICA RADIOITVRADIO ONECAPITAL RADIOLOKOPROMO
© 2019 East Africa Television Limited. All Rights Reserved


''Wazazi tunzeni silaha vizuri'' - RPC Shana | East Africa Television
The Cost of Hair Transplants in Gairo Might Shock You
Hair Transplant | Search Ads
|
Sponsored
10 Most Expensive Restaurants in the World 2017
Topexpensive.com
|
Sponsored
X
About us
Advertise
Jobs

Terms & Conditions
Contact us
Frequently asked questions
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad