Davido Awashambulia Wanaomchukia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii na Bosi wa lebo ya DMW kutoka Nigeria, Davido O.B.O, ameonekana kuwarushia dongo wasanii wenzake pamoja na soko la muziki wa nchi hiyo kwa ujumla.


Davido ali'post'kipande cha video kwenye Insta Story ya mtandao wa kijamii wa Instagram ikisema, "napenda kuwashuru watu wangu na mashabiki zangu kwa support na upendo mnaonionesha baada ya kuachia kazi yangu mpya na Chris Brown, ila nipo tayari kusema kuhusu soko la muziki nchini Nigeria maana nipo zaidi ya miaka 7 lakini hawaonyeshi kunisapoti kwa sababu ya chuki”.

Aliendelea kusema kuwa wasanii na soko la muziki wamekuwa wakimchukia kwa sababu alipewa pesa nyingi na baba yake kwa ajili ya kufanya muziki, kufanya vizuri na kutoa kazi nzuri, pamoja na kuwateka mashabiki hilo ndio kosa lake la kuchukiwa.

Amewataka watu kuacha tabia hiyo na kusisitiza kuwa ataendelea kuwasema wale wote ambao wanamchukia na kutokubali vitu vikubwa ambavyo anavifanya
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad