Chid Benz Kuhusu Kipigo cha TID "Zawadi Amelipia"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii mkongwe wa Hip Hop Bongo, Chid Benz amezungumzia kuhusu kichapo alichokipata msanii mwenzake wa kitambo, TID hivi karibuni na kupelekea kupata majeraha usoni

Akiongea na kamera za eNewz, Chid Benz amesema kuwa kipigo alichokipata TID ni zawadi ambayo ameilipa kwa Mungu na kwamba tukio hilo sio la maajabu.

"TID ajue tu kuwa amelipia kwa Mungu tukio lile wala hakuna kitu kingine, ni jambo la kawaida mtu yoyote linaweza kumtokea. Mimi mwenyewe nimeshafanya matukio kibao mpaka sasa, nimekamatwa jangwani na hivi na vile lakini bado nipo", amesema Chid.

"Sisi tayari tumeshabandika majina yetu, TID hata akipigwa mara 80 lakini tayari jina lake limebandikwa, mtu akisiki 'Nyota Yangu' tayari anajua ni TID ila tunachotofautiana ni kwamba fulani ana hela na fulani kaishiwa", ameongeza.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad