Huyu Ndio Mkulima Phillipus Steyn Chanzo cha Ndege Yetu Kushikiliwa Huko South Afrika..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huyu ndiye yule mzungu maarufu wilayani Monduli aliyekuwa anatumia ugoro wa Kimaasai kunusa na kuubwia mdomoni kila anapokuwa na Wamaasai. ...

Kitendo hicho kikampatia jina maarufu la Bwana Ugoro ambaye alikuwa anamiliki Hekta laki nne wilayani Monduli kuanzia Makuyuni hadi Loolkisale. ...

Alikuwa na trekta mia tatu. ...harvesters kadhaa. ...Landrovers zaidi ya 50. ....

Helikopta kadhaa za kupeleka wafanyakazi na maafisa kilimo mashambani na kupigia dawa mazao pamoja na kufukuzia kwelea kwelea waharibifu wa mazao. ...

Alikuwa na ng'ombe wa maziwa wa kisasa zaidi ya elfu mbili na ushee. ...

Mwl Nyerere alipotaifisha hilo shamba lake na kuwagawia Wamaasai Bwana Ugoro au kwa jina lake halisi Hermannus Phillipus Steyn Kaburu mwenye asili ya Uholanzi aliikamata Meli yetu ya Kampuni ya NASACO ambayo ilikuwa safarini Ulaya kama mara hii mtoto wake alivyofanya kwa ndege yetu aina ya Airbus. ....
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alimiliki ardhi monduli aliinunua toka kwa Nani? Kuna mgiriki moja aliwahi kusema babu yake alipokuja tanganyika na farasi wake, wakoloni walimwambia achukue ardhi na kuimiliki kwa ukubwa au upana wowote farasi wake atakaoweza kukufikia, kwa maneno mengine ni kiasi chochote atakacho. Walituibia hao! Sasa wanataka kuuhalalisha wizi huo? Wanadai nini?

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. Njia 9 Za Kutambua Kama Mwanaume Ana Uume Mkubwa. https://www.udakufy.tk/2019/08/njia-9-za-kutambua-kama-mwanaume-ana.html

    ReplyDelete
  4. Kama yuko hai ..!
    Ni lazima alipishwe kodiback dated mpaka alipotaifishwa.

    Na uhalalii wa mtotona umilikishwaji niilazima ubainike long ive Mugabe and Zimbabwe

    ReplyDelete

Top Post Ad