Jezi no 17 Yanga Yazua Balaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jezi no 17 Yanga Yazua Balaa
JEZI namba 17 ambayo ilikuwa ikivaliwa na aliyekuwa mshambuliaji ya Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ambayo sasa inavaliwa na Mnamibia, Sadney Urikhob imezua balaa ndani ya timu hiyo.

Juzi Jumatano baada ya Yanga kufungwa na Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, baadhi ya mashabiki wa timu hiyo walisikika wakilalama kuwa Sadney haitendei haki jezi hiyo ambayo ina historia na rekodi ya pekee ndani ya Yanga.

Hali hiyo ilikuja baada ya mashabiki hao kushindwa kuvutiwa na uwezo wa Sadney ambaye amekuwa akiuonyesha uwanjani tangu alipojiunga na timu hiyo akitokea Namibia huku akitajwa kama mrithi wa Tambwe katika kikosi hicho.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad