Khadija Kopa, Hata Nikizeeka Ladha Yangu Iko Pale Pale

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Khadija Kopa, Hata Nikizeeka Ladha Yangu Iko Pale Pale
U kiwa unafikiria uzee utakujaje au utaharibu muonekano wako, Malkia wa Mipasho Bongo, Khadija Kopa, hana hofu na hilo kwani anaamini ule usemi usemao; “ng’ombe hazeeki maini” ambapo amesema hata akizeeka bado sauti yake itakuwa na ladha ileile.

Akizungumza na Showbiz Xtra, Khadija alisema kuwa kitu kikubwa anachojivunia ni sauti nzuri aliyopewa na Mwenyezi Mungu ambayo alikuwa nayo tangu akiwa msichana mdogo mpaka leo haijabadilika na haitaweza kubadilika mpaka anashika mkongojo.

“Yaani naelekea uzeeni lakini sauti yangu iko palepale haijawahi kuharibika na kamwe haitatokea hivyo hata kama nitashika mkongojo nitaimba na watu watainuka kwenye viti vyao na hiyo ndio maana ya kuitwa malkia,” alisema Khadija
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad