Makonda Amlipua Diamond Ishu Ya Ndoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo Agost 20 amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika mkutano wa 39 ambao ulifanyika jijini Dar es Salaam uliofanyika Agost 17 na 18, ambapo ametumia fursa hiyo kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kupokea kijiti cha uenyekiti wa SADC kwa mwaka mmoja.



Aidha, RC Makonda amerejea aahadi aliyoitoa kabla yakuanza mkutano wa SADC juu yakufuatilia suala la wanaume walioahidi kuwaoa wakina dada na kutokomea bila kukamilisha aahadi hizo ambapo amesema kuwa utaandaliwa mkakati ili kuweza, kuwafikisha watu wenye tabia hizo mahakamani

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad