Mama wa Balotelli kamwaga machozi kusikia karudi Brescia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mario Balotelli ameweka wazi kuwa mama yake alilia alipomwambia kuwa amerudi kuichezea klabu ya Brescia iliyopo katika mji aliyokulia nchini Italia.

Hata hivyo Balotelli baada ya kujiunga na klabu hiyo kwa uhamisho huru na kurudi kucheza Serie A kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitatu, Balotelli amemthibitisha  kuwa hana hofu ya kushindwa ku-perform Italia kama ilivyokuwa kwa AC Milana na kurudi England.



Balotelli alizaliwa Palermo na kuhamia katika mji wa Brescia akiwa na umri wa miaka 2 na bado familia yake iliyomuasili (adopt) ina ishi Brescia japokuwa baba yake alishafariki toka 2015.

“Mama yangu alilia nilipomwambia kuwa nafikiria kwenda kujiunga na Brescia, alikuwa na furaha sana, sina hofu hata kidogo ya kushindwa kufanya vizuri, nipo sawa na mtulivu”>>> Balotelli

Inaaminika kuwa Balotelli ambaye mara ya mwisho hakufanya vizuri katika Ligi ya Italia na kukumbwa na majeruhi amesaini mkataba wa miaka mitatu na timu hiyo iliyopanda daraja baada ya kukataa ofa ya kujiunga na klabu ya Flamengo ya Brazil.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad