Mhadhiri wa Chuo cha Usafirishaji (NIT) Samson Mahimbo Afikishwa Mahakamani Kwa Kuomba Rushwa ya Ngonoi Kwa Mwanafunzi Ili Amsaidie Kufaulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Agosti 14, imemuachia kwa dhamana mhadhiri wa Chuo cha Usafirishaji (NIT) Samson Mahimbo anayekabiliwa na mashtaka ya kuomba rushwa ya ngono kutoka kwa mwanafunzi wake.

Mshtakiwa hayo amesomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi na Wakili kutoka TAKUKURU ambapo inaelezwa kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Januari 12, 2017.

Imeelezwa kuwa mshatakiwa alitenda kosa hilo akiwa katika nyumba ya kulala wageni ya Com David iliyopo katika maeneo ya Mlalakuwa, Mwenge, kwa kumlazimisha mwanafunzi wake kutoa rushwa ya ngono kwa madai ya kwamba angemsaidia ufaulu katika masomo yake.

Mara baada ya kusomewa mashtaka hayo, mshtakiwa alikana kutotenda kosa hilo na upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika na kuahirishwa hadi Septemba 17, 2019. Mshtakiwa yupo nje kwa dhamana.
Samsoni Mahimbo (68), Mhadhiri wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya kuomba rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wake ili amfaulishe mitihani wa marudio (Supplementary), Kesi imeahirishwa hadi Sptemba 17
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad