Msanii Uwoya Awatolea Povu Wanaohoji Hajengi na Kuishia Kula Bata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Malkia wa uigizaji katika tasnia la filamu Bongo Move, Irene Uwoya, amewatolea povu wanaohoji mbona hajengi mara kila siku anakula bata amewajibu waendelee kupamba dunia kwa kujenga yeye atapaka rangi kwa bata

Mara nyingi msanii huyo amekuwa akionekana ni mpenda starehe kutokana na maisha yake kuyaweka katika mitandao akionekana anakula bata kila wakati.

Msanii huyo ambaye aliwabatiza jina la vichoroko kwa wale wanamfuatilia maisha yake “Vichoroko: Irene mbona haujengi… kila siku bataa haya ni maisha tu kuna kesho,”

Uwoya aliandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa Instagram akisema kuwa haya ni maisha tu kuna kesho na kama wakijenga wote nani atapanga sio lazima wote wajenge nyunga.

“Wengine tutakuwa maua kwa bustani na nyie pambeni tu dunia kwa kujenga sisi tutapaka rangi kwa bata,” aliandika Uwoya.



Aliongezea kuwa Vichochoro:
“Sio kwamba hatuna pesa ya kwenda hotel au kujionyesha ila tunapenda private life.

Uwoya akijibu
”Wenye private life hawaongeagi bali nyie hamna vya kuonyesha,”Uwoya.

Vichoroko :Irene mbona hujengi…kila siku bataaa Haya maisha tuuu kuna kesho Me :tukijenga wote nani atapanga?sio lazima wote tujenge …wengine tutakuwa maua kwa bustaniii na nyie pambeni tu dunia kwa kujenga sisi tutapaka rangi kwa bata. Vichoroko :sio kwamba hatuna pesa yakwenda hotel au kujionyesha ila tunapenda private life Me: wenye private life hawaongeagi Bali nyie hamna vya kuonyesha.😷
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hili CD heavy.
    Muulze Janjaro.
    Khabari nyingine kabisa.

    ReplyDelete

Top Post Ad