Mtoto wa Miaka 9 Aliyekutwa na Ugonjwa wa Ebola Afariki...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mtoto huyo aliyekutwa na ugonjwa huo alipopimwa baada ya kuonesha dalili katika mpaka uliopo Wilayani Kasese akiwa anatokea Congo, amefariki akitibiwa

Maafisa wanasema, amefariki huku mazungumzo ya kumrudisha Congo yakiendelea na huku Mama yake aliyewasili naye Uganda akiwa ametengwa akisubiri kurudishwa Congo

Waziri wa Afya Uganda amesema, mtoto huyo aligundulika jana jioni na timu ya wataalamu wa Ebola ilitumwa kwenda Kasese kusaidia hali hiyo

Mapema mwezi huu, Uganda ilisema imeanza kujaribu chanjo ya Ebola ambayo inaweza kwenda kutumika katika maeneo yaliyo mpakani karibu na Congo

Japo ugonjwa huo bado haujatangazwa kufika rasmi Uganda, ila mnamo mwezi Juni 2019 Watu watatu wa familia moja walifariki kwa ugonjwa huo baada ya kutoka Congo
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad