Rais Magufuli Apiga ‘Push-up’ Tena Dar

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Rais  wa Tanzania, John Magufuli leo Alhamisi Agosti Mosi, 2019 amepiga ‘push-up’ tisa kabla ya kuzindua jengo jipya la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Katika kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015, ilikuwa ni kawaida kumshuhudia Rais Magufuli akipiga ‘push-up’ katika mikutano yake mbalimbali hali iliyotafsiriwa kuwa yuko imara kuwatumikia Watanzania.

Leo amerudia tena wakati akiongoza viongozi walioketi meza kuu kwenda kuwatunza waimbaji wa bendi ya Tanzania One Theatre (TOT).

Alipofika mbele ya wanenguaji wa bendi hiyo alisimama mbele yao kupiga  ‘push-up’ tisa na kunyanyuka hali iliyoibua shangwe kwa waliohudhuria uzinduzi huo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera Baba.
    Uko fiti vizuri..
    Ukitaka kujua Maofisini watu wamenyooka
    Kwa Heshimana Adabu wanatumiia WaTanznia bila kuomba ya Chai.
    Endelea kututumikia na Dua zetu tunakuombea katika kila Sala Hii Aalfari nmekuombea na Ishallah takupigiaFathaa baadaa ya Salat Jumaa wewe na wasaidizi wako wote.
    Amani ya nchi yetu na Usalama wake

    ReplyDelete

Top Post Ad