Ronaldo kataja kinachomtofautisha na Messi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ronaldo kataja kinachomtofautisha na Messi
Staa wa soka wa kimataifa wa Ureno Cristiano Ronaldo anayekipiga katika club ya Juventus ya Italia amefunguka na kuweka wazi kitu kinachomtofautisha kati yake na mpinzani wake mkubwa Lionel Messi.

Ronaldo wa Juventus na Lionel Messi wa FC Barcelona ndio wamekuwa wakishindanishwa kwa kiwango kikubwa, licha ya Ronaldo kukiri kuwa wao ni bora kutokana na kutawala tuzo za Ballon d’Or kwa miaka 10 kila mmoja akichukua mara tano ila mataji ya Ulaya yanawatofautisha.

“Nimekuwa mfungaji bora wa UEFA Champions League mara sita mfululizo, hakuna wachezaji wengi walioshinda Champions League mara tano hivi ndivyo ninavyoona naweza kujitambulisha mwenyewe katika mashindano haya, Messi ni mchezaji mzuri sio tu kwa kushinda Ballon d’Or mara tano bali kwa kuw bora kama mimi kila mwaka”>>>Ronaldo

“Utofauti kati yangu na Messi ni kwamba nimecheza vilabu mbalimbali na kushinda Champions League nikiwa na club tofauti tofauti”>>>Ronaldo

Cristiano Ronaldo ametwaa mataji mengi zaidi ya kimataifa (2) Euro 2016 na UEFA National League akiwa na timu yake ya taifa ya Ureno wakati Messi hajawahi kutwaa taji lolote akiwa na Argentina, Ronaldo ameshinda Champions League mara tano, nne akiwa na Real Madrid na moja akiwa na Man United 2008.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad