T Touch Azungumzia Young Dee Kulelewa Marekani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

'Producer' mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Mr T Touch amezungumzia juu ya tetesi kuwa msanii Young Dee kutunzwa na mwanamke aliyemzidi umri huko nchini Marekani.


Akipiga stori na eNewz, T Touch amesema kuwa sio jambo la kushangaza kuona suala hilo kwani watu wengi wanasafiri nje na hawazungumzwi, huku akisisitiza kuwa amekwenda kufanya maisha yake.

"Mbona kawaida hiyo?, watu wengi tu wanasafiri nje kila siku. Young Dee ni mtoto wa kiume amekwenda kutafuta maisha yake mwenyewe na sio lazima afikie kwa mtu ambaye mtamfahamu", amesema T Touch.

"Hakuna mama ambaye anamlea Young Dee, ni 'husling' zake tu za maisha watu wasilazimishe", ameongeza.

Young Dee ambaye yupo chini ya 'production' ya Mr. T Touch, hivi sasa yupo nchini Marekani takribani mwezi mmoja, ambapo amekuwa akionekana mtandaoni mara kadhaa na mwanamke anayeonekana kumzidi mwili na umri.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad