Unaambiwa Hichi Ndio Kinachoendelea Ndoa ya H Baba na Flora Mvungi...Baada ya Tetesi za Kuachana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkongwe wa Muziki wa Dance Nchini Tanzania, H.Baba amekanusha taarifa zilizokuwa zinasambaa mitandao kuwa ameachana mkewe Frola Mvungi ambaye ni mwigizaji.

Akipiga story na Mwandishi wa Habari H.baba amesema "Mke wa mtu akiachwa lazima aoneshe taraka sasa nani kashamuona mke wangu akiwa na taraka watu waache kuzusha vitu wasivyovijua bhana hayo ni makosa"

Aidha mkongwe huyo amefunguka kuwa yeye hana team kati ya Diamond na Alikiba ila anampenda sana Diamond.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad