Ungekuwa wewe Ungefanyaje??....Jamaa Anamtaka Kimapenzi Mchumba wa mtu Kisa Kawasikia Usiku Wakifanya..Kaamua Kuandika Barua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hii  story  nimekuta  inajadiliwa  sehemu  flani, nikaona  si  mbaya  nikusogezee  na  wewe  mdau.Jamaa  anasema  alikuwa  Lodge  na  mpenzi  wake  wamejipumzisha.
Kama  unavyojua  mambo  ya  Lodge, hasa  unapokuwa  na  mke  wako  au  mchumbaako, jamaa  anadai  walijiachia  vyakutosha  ili  mradi  tu  kila  mmoja  aifurahie  siku  hiyo...

Kumbe  purukushani  zao  za  chumbani  zilikuwa  zikitoka  mpaka  nje  ya  chumba, hali  iliyomfanya  mwanaume  mmoja  aliyekuwa  chumba  cha jirani  ashindwe  kulala.

Baada  ya  purukushani  hizo, jamaa  aliamua  kuchomoka  ili  akape  walau  bia  mbili  tatu  kujipooza  huku  akimfungia  mpenzi  wake  na  kutoka  na  funguo.

Yule  mwanaume wa  chumba  cha  jirani akaitumia  nafasi  hiyo  kumgongea  yule  mwanamke  akimtaka  ampooze  kidogo  maana  kawasikia.

Mwanamke  hakufungua  mlango, ndipo  jamaa  alipoamua  kuandika  barua  yenye  namba  yake  ya  simu  na  kuipitisha  chini  ya  mlango.

Mwanaume  aliporudi  akasimuliwa  mkasa  huo  na  kupewa  hicho  kibarua  cha  mshikaji  wa  chumba  cha  jirani.

Barua  yenyewe  ndo  hii:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad